TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

  Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania. Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na…

SALAMA JABIR AKUTANA USO KWA USO NA SHAQ O’NEALL NCHINI MAREKANI

Mtangazaji asiyehishiwa na  vituko kila kukicha wa kipindi cha Mkasi Tv  ‘Salama Jabir’ au Kistuli ameachia picha za kutosha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiponda raha  nchini Marekani sambamba na familia ya mcheza kikapu wa ‘Oklahoma City Thunder’ Mtanzania  Hasheem Thabeet . Akiwa nchini humo,  Mtangazaji huyo ameweza kupata  nafasi ya kutokelezea katika picha ya…

#SayNoToRacism : MASTAA WA BONGO NA AFRIKA WAMUUNGA MKONO DANI ALVES ALIYERUSHIWA NDIZI NA SHABIKI.

Katika kuonyesha umoja, mshikamano na kupinga vita suala zima la ubaguzi wa rangi, mastaa mbalimbali Duniani wamejitokeza na kupiga picha wakila ndizi ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono beki anayechezea klabu ya Barcelona Dani Alves aliyerushiwa ndizi na shabiki wa Villareal na kisha kuamua kuila. Licha ya shabiki huyo kuchukuliwa hatua kali ya kutoruhusiwa kuhudhuria…

HIVI NDIO VIPINDI KUMI(10) BORA VILIVYOONGOZA KUTAZAMWA ZAIDI KATIKA SHOW YA MKASI KWA MWAKA 2012 -2013.

zikiwa zimebaki takribani siku 13 tuweze kumaliza mwaka huu wa 2013 na hatimaye kuingia mwaka 2014, Blogu yko pendwa ya  Larrybway91 imefanya  utafiti wa kina zaidi kupitia kipindi cha Televisheni cha Mkasi kinachofanya mahojiano na mastaa mbalimbali, watu mashuhuri na wanasiasa kupitia mtangazaji wake Salama Jabir a.k.a Cheupe Dawa kinachorushwa hewani na kituo cha utangazaji…