BABY WILL YOU MARRY ME?? SHILOLE AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MZIWANDA

Staa wa kibao cha Chuna Buzi, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amevishwa pete ya uchumba na mumewe mtarajiwa  ‘Nuhu Mziwanda’ wakati alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana(Dec.20)   iliyofanyika Mikocheni jijini Dar es salaam. Hafla hiyo ndogo  ilihudhuriwa na mastaa kidhaa akiwemo aliyekuwa Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere, Shetta, Martin kadinda, Millard Ayo pamoja na…

TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

  Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania. Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na…