GODZILLA : NITASHEREKEA BIRTHDAY SIKU NIKIMNUNULIA MAMA YANGU GHOROFA

Mwanamuziki wa Hip-Hop Bongo, Godzilla ambaye amezaliwa Tarehe na mwezi kama wa leo, amefunguka¬†¬† juu ya suala zima la kusherekea birthday kama vile wanavyofanya mastaa wengine. Akichezesha taya zake kwenye Juzi jana na leo ya Clouds Fm leo asubuhi, mkali uyo wa ku-freestyle amesema kuwa atasherekea birthday mpaka siku atakapomnunulia mama yake ghorofa. ”kuna siku…