TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

  Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania. Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na…

PICHA ZA LULU AKIWA MAHAMAKANI LEO.

Lulu akiwa na Dr.Cheni pamoja na mama yake mahamani . Siku ya leo Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam ilikuwa ikimsomea shitaka mwigizaji maarufu wa Bongo Movie,  Elizabeth Michael ei kei ei LULU la kuua bila kukusudia msanii wa maigizo Steven Kanumba mnamo April 07 mwaka 2012 eneo la Vatican Sinza jijini Dar es…

LULU A.K.A SIDANGANYIKI ARUKA KIUNZI KUFUMWA NA YOUNG DEE, ADAI HAWAJAONANA MUDA MREFU.

MSHINDI wa tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike ya iliyotolewa na  Zanzibar International Film Festival (Ziff), Elizabeth Michael ‘Lulu’,  amekanusha taarifa zilizozagaa kwamba anatoka kimapenzi na mwana  Hip Hop, David Genzi ‘Young Dee’. Akizungumza na Mwanaspoti, Lulu amesema anashangaa taarifa hizo kusambaa kwa kasi wakati anadai kuwa hazina ukweli wowote. “Inanishangaza kwa kweli, kwanza kabisa…