DIAMOND AMPIGIA SALUTI A.Y

Diamond Platnumz amemmwagia sifa kemkem mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessayah A.K.A A.Y ambaye alikuwa akisherekea  siku yake ya kuzaliwa wikiendi iliyopita (Julai,05) . Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, Diamond alianza kwa kumpongeza mwanamuziki huyo kwa kuweza kuwajengea daraja la kimataifa na kuongeza kuwa  ndiye aliyefanikisha collabo yake ya kwanza kimataifa na mwanamuziki wa Nigeria, Davido,…

KTMA 2015 : ORODHA YA MAJINA YA WASHINDI WALIOTWAA TUZO ZA KILI

Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake baada ya kufanyika sherehe za utoaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music  ambapo wasanii wanaofanya muziki wa aina mbalimbali kama vile Hip Hop, Bongo Fleva, Dansi pamoja na Taarab waliweza kushindanishwa katika vipengele 33 vilivyokuwa vinawaniwa.  Katika utoaji wa Tuzo hizo, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba aliweza kung’aa…

NDUGU ZANGU WA WHATSAPP NIPUNGUZIENI MSG KIDOGO MTANIULIA KISIMU CHANGU – DIAMOND

Mwanamuziki daraja la kwanza wa muziki wa Bongo Fleva hapa Bongo, Diamond Platnumz amewaomba mashabiki zake wapunguze hasira za kumtumia meseji kwenye mtandao wa Whatsapp maana wakiendelea hivyo huenda wakamuulia simu yake. Diamond amefikia hatua hiyo baada ya kuona akitumiwa meseji nyingi kwenye mtandao huo na hivyo kulazimika ku-Screenshot simu yake ambayo ilikuwa ikionyesha  …

DIAMOND AFANYIWA UPASUAJI WA MGUU

Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mguu wake wa kushoto katika hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar es salaam. Diamond ameiambia Blogu ya Larrybway91 kuwa upasuaji huo ulichukua saa kadhaa ambao ulihusisha utolewaji wa kitu chenye asili ya chupa kilichokuwa kimekaa mguuni mwake kwa takribani mwaka mzima. ”Nilikuwa na kichupa…

WAJUE WAKALI WALIOMU-INSPIRE DIAMOND KUWA MWANAMUZIKI

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewaanika wasanii wa muziki wa hapa nchini waliomu-inspire kufanya muziki ambao leo hii umeweza kubadilisha ndoto zake kutoka katika maisha ya hali ya chini na kumuweka kileleni. Wanamuziki hao ni pamoja na Professor Jay, Late James Dandu, Lady Jaydee, Q-Chief, Mr.Blue, Mr.Nice, A.Y, Ray C, T.I.D, Mr.Sugu na…

WEMA SEPETU AOMBWA RADHI NA GAZETI LA MTANZANIA

Gazeti la Mtanzania limemuomba radhi mwanadafada Wema Sepetu baada ya kuchapisha stori kuwa amempeleka mahakamani aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz kwa kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 10 alizomkopea VICOBA. Akitiririka kwenye 255 ya Clouds Fm, Meneja wa Sepetu, Martin Kadinda amesema tayari mwanasheria wa kampuni yao ya Endless Fame amekwishafungua kesi ya kuchafuliwa kwa…

WEMA SEPETU : SIWAJUI VICOBA, HAKUNA KITU NACHOMDAI DIAMOND

Msanii nyota wa Bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka kuhusiana na tetesi zilizozagaa mjini kupitia gazeti la Mtanzania kuwa anadaiwa shilingi milioni 10 za kitanzania ambazo alikopa VICOBA kwa ajili ya kumfanyia wepesi zilipendwa wake Diamond Platnumz. Akistohirishia kwenye hot 255 ya Clouds Fm, Wema Sepetu amesema hakuna kitu anachomdai Diamond na isitoshe haifahamu hata hiyo…

DIAMOND NA DAVIDO HAWANA BIFU ASEMA BABU TALE

Meneja wa Diamond, Babu Tale amekanusha kuwepo kwa bifu kati ya Diamond na Davido wakati akizungumza kwenye XXL ya Clouds Fm Ijumaa iliyopita(Dec.09). Babu Tale amesema wamekuwa na mawasiliano mazuri na menejimenti ya Davido na hata ujumbe aliouandika Davido kwenye ukurasa wake wa Twitter uliomsababishia ashambuliwe na watanzania mapema mwaka jana haukuwa ukimlenga Diamond.  ”Mimi…

YAYA TOURE ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA

Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Yaya Toure ameshinda Tuzo ya mwanasoka bora wa afrika kwa mara ya nne katika hafla ya utoaji tuzo kwa wachezaji bora zilizofanyika jijini Lagos nchini Nigeria. Toure mwenye umri wa miaka 31 aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa, akileta ushindi katika ligi kuu pia na kujitoa kuisaidia timu yake…

DIAMOND KUTUMBUZIA KATIKA UTOAJI WA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA AFRIKA

Mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ anatarajiwa kuburudisha katika sherehe za utoaji Tuzo za wanamichezo bora zinazoandaliwa na shirikisho la mchezo wa soka barani Afrika ‘CAF’, January 08, mwaka huu jijini Lagos nchini nigeria. Diamond anatarajiwa kuungana na wasanii wengine mahiri barani Afrika walioalikwa kutumbuiza sherehe hizo ambao ni pamoja na Hugh…