TUNDAMAN AKANUSHA KUMPORA DOGO ASLAY DEMU

Staa wa Msambinungwa, Kapteni Tundaman amekanusha vikali tetesi zilizozagaa mjini za kumpora Dogo Aslay mpenzi wake aitwaye Najma. Tundaman amemueleza Gossip Cop wa Clouds fm ‘Soudy Brown’ kutomfahamu kabisa mwanamke uyo anayedaiwa kumpora kutoka kwa Dogo Aslay na kudai kuwa hata Tattoo inayosemekana amechora ya jina lake haifahamu. ”simjui demu wa Aslay…ujue soudy unaniaribia ndoa…

CLOUDS MEDIA YAPATA LESENI YA URUSHAJI WA MATANGAZO KATIKA NCHI ZA FALME ZA KIARABU

Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha  matangazo  katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE).  Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni  hiyo Bwana Joseph Kusaga, amesema  sasa kituo cha  Clouds TV kimataifa kitakuwa kikishuhudiwa na watu wa mataifa mbalimbali. Clouds TV kimataifa ni mwendelezo wa televisheni…

DIVA WA CLOUDS FM AONYESHA TASWIRA MBOVU KATIKA JAMII.

Loveness Love – Diva. Mtangazaji wa Clouds fm [88.5] anayetangaza   kipindi cha hala za roho,  Loveness Malinzi a.k.a Diva bado ameendelea kujidhalilisha na kuonyesha mfano mbaya kwa wasichana wanaomtazama kama Role Model wao   baada ya kuposti picha inayochochea vitendo vya usagaji katika mtandao wa Instagram. kisha kuadd caption iliyosomeka ”Goodmorning,  Me n Rihanna Wifey” Mtangazaji huyo…