TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

  Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania. Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na…

MHE.ANGELLAH KAIRUKI PAMOJA NA MWANZILISHI WA BONGO5 WATEULIWA KUWA VIONGOZI VIJANA DUNIANI ‘YOUNG GLOBAL LEADERS 2014’.

 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Angellah Kairuki  (kushoto) pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji (CEO) wa Bongo5 Media Group na Jefag Logistics Tanzania Ltd, Luca Neghesti (chini) wameteuliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani, ‘Young Global Leaders 2014’. Watanzania hao wawili wameingia kwenye jopo hilo ambalo mwaka huulinaundwa na vijana 214 kutoka nchi 66 duniani…