ABDU BONGE KUZIKWA LEO MOROGORO

Maziko ya aliyekuwa Muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Marehemu Abdu Bonge yanatarajia kufanyika leo Makuyuni Mkoani Morogoro, baada ya zoezi la uchunguzi wa mwili wa marehemu na shughuli za uagaji kukamilika jijini Dar. Marehemu Abdu Bonge amepoteza maisha usiku wa jumamosi baada ya kusukumwa na kuanguka alipokuwa akiamua ugomvi wa majirani zake. Chanzo…

DIAMOND NA DAVIDO HAWANA BIFU ASEMA BABU TALE

Meneja wa Diamond, Babu Tale amekanusha kuwepo kwa bifu kati ya Diamond na Davido wakati akizungumza kwenye XXL ya Clouds Fm Ijumaa iliyopita(Dec.09). Babu Tale amesema wamekuwa na mawasiliano mazuri na menejimenti ya Davido na hata ujumbe aliouandika Davido kwenye ukurasa wake wa Twitter uliomsababishia ashambuliwe na watanzania mapema mwaka jana haukuwa ukimlenga Diamond.  ”Mimi…

PICHA 35 ZA ZIARA YA KIMUZIKI YA DIAMOND NCHINI BURUNDI

Msanii nyota wa muziki wa Bongoflava, Naseeb abdul ‘Diamond Platnumz’ ameangusha shoo ya nguvu katika mji mkuu wa Burundi ‘Bujumbura’ usiku wa kuamkia leo(Dec.28) iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa watu ikiwa ni moja ya ziara yake kimuziki. Diamond aliondoka nchini Jumamosi(Dec.27) akiwa  na kikosi kizima cha Wasafi kupitia njia ya Kenya ambapo aliungana na mpenzi…

TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

  Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania. Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na…

2014 MTV MAMA AWARDS PICHA ZA RED CARPET

Sherehe za Utoaji wa Tuzo za MTV MAMA  zimefikia tamati mjini Durban nchini Afrika kusini na kuhudhuriwa na  mastaa kibao kutoka sehemu mbalimbali Duniani waliopata nafasi ya kutokelezea kwenye zulia jekundu maarufu kama Red Carpet. Watazame hapo chini   Alex Okosi Bonang Matheba akiwa ndani ya  GJC DJ Caise, Ice Prince na Kcee French Montana…

PICHA : DIAMOND ASINDIKIZWA NA BABY AKE WEMA SEPETU UWANJA WA NDEGE ‘JNIA’ AKIELEKEA NIGERIA.

Penzi ni kikohozi kulificha huliweza, Diamond na bebi ake Wema Sepetu wamelidhihirisha hilo baada ya madamu(Wema)  kumsindikiza sukari ya warembo(Diamond) mpaka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ‘JNIA’ wakati akielekea Lagos, Nigeria kwa ajili ya kufanya video na wasanii wakubwa nchini humo na kuhudhuria event ya Femia Kuti . Diamond ameondoka Tanzania Machi…

DOGO JANJA AFUATA NYAYO ZA PNC, AWAOMBA RADHI TIP TOP CONNECTION.

Mwanamuziki wa miondoko ya kufokafoka nchini, Dogo Janja ameonekana kujutia makosa aliyofanya na kuamua kuuomba radhi  uongozi wa Tip Top connection kwa kile alichodai ni kutaka kuondoa tofauti zilizokuwepo baina yake na kundi hilo ambalo lilimtambulisha kwenye ulimwengu wa muziki. Hata hivyo baada ya taarifa hizo kumfikia meneja wa Tip Top, Babu Tale alikuwa na…