MCHUMBA WA KARAMA ‘BELA’ AMTOLEA UVIVU INSPECTOR HARUNI

Mchumba wa muda mrefu wa memba wa kundi la Gangwe Mobb, Luteni Karama, Isabela Mpanda A.K.A Bella, amemtolea uvivu shemeji yake, Haruna Kaena ‘Inspector Haruni kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram. Akijinasibu pasipo kupepesa, Bela amefunguka kwamba, Inspector Haruni, amekuwa akimsingizia kuwa amekuwa akimkataza  Karama kupiga show za kundi lao na hivyo kujikuta akichukua mkwanja…

MBUNGE JOSHUA NASSARI WA ARUMERU MASHARIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI YA CHOPA

Mbunge wa Jimbo la Arumeri Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Helkopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo. Habari kutoka Arumeru zinasema kuwa Helkopta hiyo ilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga mti na kunasa juu ya mti huo. Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa…

DIAMOND AMPIGIA SALUTI A.Y

Diamond Platnumz amemmwagia sifa kemkem mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessayah A.K.A A.Y ambaye alikuwa akisherekea  siku yake ya kuzaliwa wikiendi iliyopita (Julai,05) . Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, Diamond alianza kwa kumpongeza mwanamuziki huyo kwa kuweza kuwajengea daraja la kimataifa na kuongeza kuwa  ndiye aliyefanikisha collabo yake ya kwanza kimataifa na mwanamuziki wa Nigeria, Davido,…

VIDEO YA DAVIDO ‘FANS MI’ MATATANI

Kwa mujibu wa gazeti la Nigeria, New Telegraph, Supastaa wa miondoko ya Afrobeats, Davido,yupo chini ya uchunguzi na Chombo cha Taifa cha udhibiti wa dawa za kulevya nchini humo kinachojulikana kama National Drug Law Enforcement Agency(NDLEA). Uchunguzi huo unakuja kufuatia video mpya ya msanii hiyo inayoitwa ‘Fans Mi’ ambayo amemshirikisha Rapa wa Marekani, Meek Mill,…

KTMA 2015 : ORODHA YA MAJINA YA WASHINDI WALIOTWAA TUZO ZA KILI

Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake baada ya kufanyika sherehe za utoaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music  ambapo wasanii wanaofanya muziki wa aina mbalimbali kama vile Hip Hop, Bongo Fleva, Dansi pamoja na Taarab waliweza kushindanishwa katika vipengele 33 vilivyokuwa vinawaniwa.  Katika utoaji wa Tuzo hizo, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba aliweza kung’aa…

NGOMA MPYA : AIDALY CLASSIC – LONGO LONGO

Msanii chipukizi wa muziku wa kizazi kipya, Aidaly Classic ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la LONGO LONGO ambayo imefanywa ndani ya studio za Big Base chini ya mikono hatari ya Producer Taita.  Ipakue na kuisikiliza hapo chini

KIM KARDASHIAN AMUANGUSHIA KANYE WEST BONGE LA BIRHDAY

Mwanamitindo nyota na star wa kipindi cha televisheni cha KEEPING UP WITH THE KARDASHIANs, Kim K, amemdondoshea bonge moja la birthday baba wa mtoto wake, Kanye West wakati alipokuwa akisherekea kutimiza umri wa miaka 38. Inaelezwa kwamba Kim Kardashian aliteketeza takribani dola 110,000 kukodisha uwanja mkubwa wa basketball wa Staples Center ambapo Kanye West na…

PIGO BONGO MOVIES : MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA

Msanii mkongwe wa maigizo na filamu  Bongo, Mzee Kankaa, amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu. Mzee Kankaa alijipatia umaarufu mkubwa miaka ya 2008 kupitia igizo la JUMBA LA DHAHABU lililokuwa likirushwa hewani na kituo cha TBC1 chini ya kiongozi wao Tuesday Kihangala. Mazishi yake ni leo hii majira ya saa 10…

MAKE IT RAIN!!! FLOYD MAYWEATHER AMWAGA MVUA YA HELA HUKO HOUSTON

Baada ya mwezi mmoja kupita tangu alipomtwanga mpinzani wake, Manny Pacquaio, kwa ushindi wa Pointi na kufanikiwa kujinyakulia dola milioni 150, Bondia Floyd Mayweather Jr ameendeleza mbwembwe zake kufuatia kumwaga mvua ya hela katika klabu moja ya usiku huko Houston nchini Marekani. Ishu hiyo ilitokea kwenye klabu ya Vlive jumamosi iliyopita ambapo bondia huyo alitinga…

AMBER ROSE AKAVA KITABU CHAKE KIPYA AKIWA MTUPU(18+)

Mwanamitindo na mama wa mtoto wa mmoja, Amber Rose ameachia kihoja kingine cha mwaka baada ya kukava kitabu chake kipya akiwa kama alivyozaliwa. Kitabu hicho kinachoitwa ”How to be a bad B**ch”  kinaelezea mwongozo wa kushinda maisha na kujenga himaya ambacho kitaakisi maisha yake kwa ujumla na mahusiano yake ya kimapenzi na marapa aliowahi ku-date…

NDUGU ZANGU WA WHATSAPP NIPUNGUZIENI MSG KIDOGO MTANIULIA KISIMU CHANGU – DIAMOND

Mwanamuziki daraja la kwanza wa muziki wa Bongo Fleva hapa Bongo, Diamond Platnumz amewaomba mashabiki zake wapunguze hasira za kumtumia meseji kwenye mtandao wa Whatsapp maana wakiendelea hivyo huenda wakamuulia simu yake. Diamond amefikia hatua hiyo baada ya kuona akitumiwa meseji nyingi kwenye mtandao huo na hivyo kulazimika ku-Screenshot simu yake ambayo ilikuwa ikionyesha  …

TAZAMA LULU ALIVYOITENDEA HAKI NGOMA MPYA YA DIAMOND ‘NANA’

Mbali na kuwa mwigizaji mwenye uwezo mkubwa, Elizaberth Michael A.K.A Lulu ameonyesha upande wa pili wa kipaji chake baada ya ku-post video fupi kwenye ukurasa wake wa Instagram akicheza ngoma mpya ya mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz inayoitwa ”Nana Sankoro” ambayo amemshirikisha mwanamuziki Flavour wa Nigeria. ”Imenifika Hapaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂🙈🙈🙈🙈🙈ANGALIZO:Video hii itadumu kwa muda wa dakika…

DAVIDO ALAMBA NONDOZZZZZZ

Rapa nyota wa Nigeria, Davido, amefanikiwa kupata shahada yake ya kwanza ya masuala ya muziki katika chuo kikuu cha Babcock kilichopo nchini humo. Katika mahafali hayo Davido alipata kampani ya nguvu kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa karibu akiwemo baba yake mzazi, Mr.Adeleke, Don Jazzy, B Red pamoja na kaka na dada zake. Akiongea…