TAZAMA LULU ALIVYOITENDEA HAKI NGOMA MPYA YA DIAMOND ‘NANA’

Mbali na kuwa mwigizaji mwenye uwezo mkubwa, Elizaberth Michael A.K.A Lulu ameonyesha upande wa pili wa kipaji chake baada ya ku-post video fupi kwenye ukurasa wake wa Instagram akicheza ngoma mpya ya mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz inayoitwa ”Nana Sankoro” ambayo amemshirikisha mwanamuziki Flavour wa Nigeria. ”Imenifika Hapaaaaaaaaaaaaaa馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃檲馃檲馃檲馃檲馃檲ANGALIZO:Video hii itadumu kwa muda wa dakika…

VIDEO TEASER : DAVIDO Ft. MEEK MILL – FANS MI

Davido ameachia teaser ya video yake mpya ”FANS Mi” akiwa amemshirkisha Rapa Meek Mill wa lebo ya Maybach Music Group. Video imefanywa pande za Calabada mjini California nchini Marekani chini ya muongozaji mahiri Sesan na inatarajiwa kuachiwa kesho.聽 Itupie jicho hapo chini mtu wangu  

KICHUPA KIPYA : SHETTA FEAT. KCEE – SHIKOROBO [Official Video]

Hitmaker wa Kerewa, Shetta, ameonyesha kufuata nyayo za swahiba wake, Diamond Platnumz, baada ya kuachia video kali mpya ya ngoma yake ‘Shikorobo’ akiwa amemshirkisha mwanamuziki nyota wa nigeria ‘Kcee’ ambayo imefanywa nchini Afrika Kusini na kampuni ya Godfather Productions.聽 Itupie jicho Hapo chini kwa mara ya kwanza 聽

KICHUPA KIPYA : LINEX Feat. DIAMOND PLATNUMZ – SALIMA [Official Video]

Linex ameitendea haki kauli ya bandika bandua kufuatia kuwapa ladha mashabiki kupitia ngoma yake ya Salima akiwa amemshirkisha Diamond ambayo aliyoiachia siku chache zilizopita na kama hiyo haitoshi msanii huyo ameendelea kuwapa ladha fans wake kwa kuachia kichupa cha single hiyo ambacho kimeongozwa na dairekta Adam Juma wa Next Level.聽 Itazame hapa kwa mara ya…

KICHUPA KIPYA : JUX – NIKUITE NANI [Official Video]

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayesifika kwa kutupia pamba kali, Juma Jux, ameachia rasmi video mpya ya hit single yake ‘Nikuite Nani’ ambayo imeongozwa na dairekta anayekuja kwa kasi kwenye industry ‘Hanscana’ huku ikinakshiwa na video vixen maarufu hapa Bongo Maggie Vampire.聽 Itazame Hapo chini kwa mara ya kwanza

KICHUPA KIPYA : OMMY DIMPOZ – WANJERA [Official Video]

Ommy Dimpoz ameachia kichupa/video yake mpya ”Wanjera” ambayo imeongozwa na kampuni ya Godfather Production nchini Afrika kusini wakati kwa upande wa audio ikifanywa na mikono hatari ya Man Walter. Katika video hiyo, Dimpoz amemshirikisha Former Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu pamoja na Mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan, nisikuchose sana, chukua dakika zako 4…