ANDY MURRAY APATA MTOTO WA KIKE

Mchezaji nyota wa mchezo wa tenesi Duniani, Andy Murray na mkewe ‘Kim Sears’ wamebahatika kupata mtoto wao wa kwanza wa kike wikiendi iliyopita. Hata hivyo jina la mtoto huyo alikuweza kufahamika mara moja huku taarifa rasmi kutoka kwenye familia ya wanandoa hao ikisubiriwa. Mashabiki na wadau mbalimbali wa michezo Duniani wameweza kumpongeza nyota huyo kwenye mitandao…

MAKE IT RAIN!!! FLOYD MAYWEATHER AMWAGA MVUA YA HELA HUKO HOUSTON

Baada ya mwezi mmoja kupita tangu alipomtwanga mpinzani wake, Manny Pacquaio, kwa ushindi wa Pointi na kufanikiwa kujinyakulia dola milioni 150, Bondia Floyd Mayweather Jr ameendeleza mbwembwe zake kufuatia kumwaga mvua ya hela katika klabu moja ya usiku huko Houston nchini Marekani. Ishu hiyo ilitokea kwenye klabu ya Vlive jumamosi iliyopita ambapo bondia huyo alitinga…

BONDIA FRANCIS CHEKA ABADILISHIWA KIFUNGO

Hukumu ya Cheka ambayo imebadilika kutoka miaka 3 hadi miaka miwili kulingana na sheria namba 6 ya mwaka 2002 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2004 imemtaka mfungwa kufanya kazi masaa 4 bila malipo katika taasisi za umma. Sheria hiyo imemuwezesha bondia huyo kutumikia kifungo chake cha nje ambapo atatakiwa kufanya kazi katika taasisi za umma ikiwemo kwenye…

MKE WA NWAKO KANU NISHEDAAAH!! MTAZAME HAPA

Katika pitapita zangu mitandaoni nimebahatika kukutana na picha ya Nyota wa zamani wa klabu ya Arsenal na Timu ya Taifa ya Nigeria ‘Nwako Kanu’ akiwa na mke wake aitwaye Amara. Wawili hao walifunga pingu za maisha mwaka 2004 na kubahatika kupata  watoto wao watatu, wawili wakiwa ni wakiume na mmoja wa kike.  Fanya kuwatupia jicho…

MAYWEATHER JR, PACQUIAO WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO, KUMALIZA UBISHI MEI 02

Mabondia nyota Duniani, Floyd Mayweather Jr na Pacquiao wamekutana katika mkutano na waandishi wa habari ambao umefanyika katika ukumbi wa Nokia Theatre  jijini Los Angels, California. Wanamasumbwi hao wawili ambao ni mahasimu wakubwa, wamekutana leo kwa ajili ya kupromote na kuzungumzia mpambano wao unaotarajia kufanyika Jumamosi(May.02) mwaka huu katika ukumbi wa MGM Grand Arena uliopo…

HAT-TRICK YA HISTORIA UNITED: SIKU KAMA YA LEO ‘DWIGHT YORKE’ ALIWEKA REKODI HII NDANI YA OLD TRAFFORD

Kwa wale wapenzi na mashabiki nazi wa mashetani wekundu ‘Manchester United’ bila ya kupepesa watakuwa bado na kumbukumbu katika vichwa vyao ya hat-trick iliyofungwa na mshambuliaji hatari wa enzi hizo   ‘Dwight Yorke’ mnamo Feb.25 mwaka 2001 ndani ya dakika 22 ambayo hadi leo haijavunjwa wakati United ilipomenyana na Arsenal. Katika mchezo huo ulishuhudia Man…

KIPA WA MBEYA CITY DAVID BURHAN ASIMAMISHWA NA KUONDOLEWA KIKOSINI

Halmashauri ya jiji la Mbeya ambayo ndio mmiliki wa timu ya Mbeya City football Club ilikutana na bodi ya Michezo ya jiji inayosimamia uendeshaji wa timu leo tarehe 23.02.2015 kujadili muenendo mzima wa mchezo wa timu yetu dhidi ya Young African uliochezwa tarehe 22.02.2015 pamoja na matokeo yake. Katika kikao hicho,mmiliki pamoja na bodi yake…

IVORY COAST YAPOKELEWA NA MAELFU YA MASHABIKI NCHINI KWAO

Timu ya Taifa ya Ivory Coast au unaweza kuwaita tembo wa mwituni wamepokelewa na maelfu ya mashabiki waliokuwa wamefurika katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Abdijan baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika kwa mara ya pili nchini Guinea ya Equator. Rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara ametangaza  kupitia vituo vya radio na luninga…

GUINEA YATINGA ROBO FAINALI KIZALI, MALI YAFUNGASHA VIRAGO

Timu ya Guinea iliyotoka sare juzi kwa kufungana bao moja kwa moja na timu ya Mali kwenye michuano ya soka ya kombe la AFCON, imetinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kushinda kwa njia ya bahati nasibu iliyofanywa na shirkisho la soka barani Afrika CUF. Bahati nasibu hiyo imeamua nafasi ya pili katika kudni…

MAYWEATHER, PACQUIAO WAKUTANA USO KWA USO NA KUSALIMIANA

Mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wameudhihirishia ulimwengu kuwa uhasama uliopo kati yao ni wa ulingoni na sio sehemu nyingine, hiyo ni baada ya kukutana uso kwa uso na kusalimiana kama vile sio mahasimu wakubwa. Mabondia hao wanaoshikilia mataji makubwa ya ndondi Duniani,  walikutana katika uwanja wa American Airlines usiku wa kuamkia leo(Jan27) wakati wa…