HEKAHEKA KUELEKEA VALENTINE DAY

Zikiwa zimebakia siku 5 kuelekea siku ya wapendanao Duniani(Valentine Day), hekaheka zake zimeanza mapema ikiwa ni kama ishara ya kuwataarifu wapendanao zawadi za kupeana katika siku iyo maalum. Advertisements

VIDEO : PALE KWAITO LINAVYOKOLEA NA KUPELEKEA KUMPIGA MWELEKA MREMBO HUYU

Ni utamaduni wetu hasa wa watu wa Afrika kupenda kujumuika pamoja katika matukio mbalimbali kama vile misiba, Sherehe, maafali na mengineyo. Kama hiyo haitoshi tumekuwa tukishuhudia vioja mbalimbali vikitokea katika shughuli hizo, vingine vikifanywa kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Blog ya Larrybway91 imefanikiwa kuinyaka moja ya video ikimuonyesha mrembo mmoja akisakata Kwaito na wenzake…

UBUNIFU KUTOKA MOYONI : AUNDA NDEGE KWA KUTUMIA MISOKOTO YA BANGI

Ukisikia ubunifu kutoka moyoni ndio huu. Wakati baadhi ya nchi za magharibi zikihalalisha uvutaji wa bangi, fursa hiyo imeonekana kuwapa nafasi watu flani kuonyesha ujuzi wao wa kuunda mmea huo ambao unapigwa vita vikali barani Afrika na kwingineko. Katika pitapita zangu mitandaoni, nikabahatika kukutana na jamaa mmoja ambaye aliamua kutumia misokoto ya bangi na kuunda …

ASWEKWA LUPANGO BAADA YA KUKIRI KUFANYA MAPENZI NA MAITI 100

Ama Kweli Duniani kuna Mambo, Mzee mmoja wa makamo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hamilton County mjini Ohio nchini marekani baada ya kukiri kufanya mapenzi na takribani maiti 100. Kenneth Douglas mwenye umri wa miaka 60 ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye sehemu ya kuhifadhia maiti yaani  mortuary, aliiambia mahakama kuwa yeye alikuwa akivunja amri ya…

MAAJABU!!!! DEREVA ASIYE NA MIKONO ADAKWA NA POLISI AKIENDESHA GARI

Polisi nchini China wamemkamata mtu asiyekuwa na mikono akiendesha gari.  Bwana huyo Wo Guo (45) si tu kwamba hakuwa na leseni bali alikuwa akitumia mguu wake wa kulia kubadili gia huku mguu wa kushoto ukikanyaga mafuta na breki. Msemaji wa polisi amesema: “Ni jambo la ajabu, lakini ni hatari sana kwake kuendesha gari.” Polisi huyo…

KIVAZI CHAKUBANA NUSURA KIMFUKUZISHE KAZI ASKARI HUYU

Askari mmoja wa kike Raia wa Kenya ‘Linda Okello’ amenusurika kupoteza kibarua chake  kufuatia kivazi cha kubana alichokuwa amevaa wakati yupo kwenye majukumu ya kikazi kumchora sehemu kubwa ya maungo yake ikiwemo makalio kitendo kilichopelekea picha yake kusambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo  Facebook na Twitter. Baada ya Taarifa pamoja na picha…

MAHABA NIKAUSHE DAMU, JAY Z AMPANDISHA BEYONCE VESPA…

Rapa Jay Z na Beyonce wametupa kule ustaa na utajiri walionao na kuamua kuonyeshana mahaba nikaushe damu yaliyowapelekea kutumia usafiri uliozoeleka kutumiwa na watu wa hali ya chini wa pikipiki ndogo aina vespa au puchi kama wengine wanavyouita. Kitendo hicho kilionekana kuwavutia watu wengine wakati wa kurekodi season mpya ya kipindi cha  ‘The Fabulous Life’…

VIMBWANGA VYA MOYES BAADA YA USHINDI WA JUMATANO.

Baada ya kikosi cha mashetani wekundi, timu ya Manchester United kuipa kichapo cha mbwa mwizi Olympiakos ya Ugiriki katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ‘UEFA’ na kuiwezesha timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali. Hizi nni baadhi ya picha zilizozagaa mitandaoni zikimuonyesha meneja wa United, David Moyes akionyesha furaha yake na jinsi timu…

MKOMBOZI WA WANAUME WENYE VITAMBI HATIMAYE UMEPATIKANA.

Wanawake tayari wameshapatiwa ufumbuzi wa tatizo lao la kujiweka katika muonekano mzuri hata kama watakuwa na maumbo madogo au yasiyovutia kwa kutumia mbinu ya kuvaa hipsi na makalio bandia na hivyo kuwa rahisi kuwatoa udenda  wanaume wakware wanaoshindwa kuhimili hisia za miili yao pindi wanapokutana na mitikhani au mitego ya namna hiyo. Katika kutambua mahitaji…

VIMBWANGA : LUPITA NYONG’O NA JENNIFER LAWRENCE WAZICHAPA KISA TUZO YA OSCAR.

Muigizaji wa kike mahiri, mrembo na anayejua kuvaa nguo zinazoendana na mwili wake,  Lupita Nyong’o, alishuhudiwa na umati wa watu akitangazwa mshindi katika kipengele cha ‘Best Supporting Actress’ kupitia filamu aliyocheza ya ’12 years a slave’ kwenye tuzo kubwa na maarufu za Oscar usiku wa jumamosi, huku akimbwaga muigizaji  maarufu, Jennifer Lawrence aliyeigiza filamu ya…