BLAC CHYNA KATIKA MUONEKANO WA KIBANTU

Supastaa na mzazi wa Rapa Tyga, Blac chyna, ametupia baadhi ya picha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram zikimuonyesha akiwa amesuka mtindo wa kibantu ambao hutumiwa sana na wanawake wengi wa ki-Afrika. Kama hiyo haitoshi staa huyo alitumia mwanya huo kuwaonyesha mashabiki wake pete ya uchumba aliyovishwa na mdogo wa kiume wa Kim Kardshian aitwaye…

RAIS MPYA WA ZAMBIA AVALISHWA NA SHERIA NGOWI KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWAKE

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu, ameapishwa baada ya kumshinda mwenzake kwa kura chache katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo.  Bwana Lungu aliwaambia maelfu ya wafuasi wake katika sherehe hiyo kwenye uwanja wa michezo mjini Lusaka, kwamba yeye ni mtumishi wa watu.  Alipata asili-mia-48 ya kura, ikilinganishwa na asili-mia-47 za mgombea wa upinzani, Hakainde Hichilema. …

LUPITA NYONG’O AMLETEA POZI KENYA MOORE

Staa wa Real Housewives of Atlanta, Kenya Moore, amemtolea uvivu muigizaji Lupita nyong’o baada ya kumchomolea kupiga nae picha wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za Golden Globe zilizofanyika katika hoteli ya Beverly Hilton mjini California (Jan.11) mwaka huu. Kenya ameonekana kusikitishwa na kitendo alichofanyiwa na muigizaji huyo wa 12 years a slave na…

WATIMANYWA AUNGA MKONO KUSIMAMISHWA SHINDANO LA MISS TANZANIA

Mlimbwende wa Tanzania mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameunga mkono kusimamishwa kwa shindano la Miss Tanzania akisema ni kweli shindano hilo lina mapungufu mengi yanayohitaji kufanyiwa kazi. Watimanywe ambaye amerejea nchini mwezi uliopita akitokea kwenye shindano la urembo wa Dunia, amesema ni kweli wadada wengi wataathirika kutoka na shindano hilo kufungiwa lakini inabidi wakubaliane na ukweli…

PICHA NA VIDEO: JOKATE AINGIA UBIA NA KAMPUNI KUBWA YA CHINA

Mtangazaji na Mwanamitindo daraja la kwanza Bongo, Jokate Mwengelo ameendelea kujitanua kibiashara kupitia kampuni yake ya ”Kidoti” inayojihusisha na masuala ya urembo baada ya kuingia ubia na kampuni moja kubwa ya China inayoitwa ‘RainBow Shell Craft Company Limited‘  wakiwa na lengo la kuwekeza zaidi katika masuala ya urembo wa kinadada. Katika kuthamini mchango wake mkubwa…

MARTIN KADINDA AZUNGUMZIA SHOE LINE YAKE ‘MUGAT!’

Mbunifu mahiri wa mavazi na mwanamitindo, Martin Kadinda amesema imefika wakati wa kutambua kwamba Tasnia ya mitindo nchini Tanzania ina wigo mpana zaidi ya mavazi na kwa kuanza yeye amejiongeza kwa kuja na brand yake ya viatu inayoitwa ‘Mugati’ ambayo imezinduliwa rasmi Jumapili(Dec.07) wakati wa utoaji wa Tuzo za Swahili Fashion Week. Akizungumza kwenye interview…

MET GALA 2014 : PICHA ZA RED CARPET ZA MASTAA WALIONG’ARA ZAIDI

Mfuko wa kuchangisha fedha wa ‘Met Gala’ maarufu kama Met Ball ambapo hapo  awali ulikuwa ukijulikana kama ‘Costume Institute Gala’ umeweza kuwakutanisha tena wadau wakubwa na mastaa wake kwa waume, huku lengo kuu likiwa ni kuchangisha fedha kwa ajili ya Taasisi ya makumbusho ya  sanaa ya Metropolitan. Shughuli hiyo ambayo hufanyika kila mwaka  iliikwenda sambamba…

MIU MIU YAWAKUTANISHA LUPITA NYONG’O NA RIHANNA, WAKETI SITI MOJA.

Mshindi pekee wa tuzo ya Oscar 2014 ‘Best Supporting Actress’ kutoka Afrika Mashariki, Lupita Nyong’o, ameendelea kung’aa zaidi katika fani ya mitindo na urembo ambapo  safari ameweza kuketi siti moja na staa wa kibao cha Umbrella, Rihanna ei kei ei Bad Girl Riri huko mjini Paris katika maonyesho ya mavazi yaliyojulikana kama Miu Miu. Mkenya…