PICHA ZA UTOAJI WA TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI ZANZIBAR 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Moh’d Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Midia Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.  Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdilahi akimkabidhi…

PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR

Wasanii nyota wa Bongo Fleva wapatao 18 waliweza kukutanishwa katika jukwaa moja kwenye tamasha lililopewa jina la Tigo Kiboko yao ambalo liliandaliwa na kampuni ya Tigo na kuzinduliwa na Waziri wa Habari wa michezo na utamaduni mheshimiwa Dr Fenela Mukangara kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita. Wasanii waliotoa burudani ni pamoja…

HIVI NDIVYO SHOW YA DIAMOND ILIVYOTIA FORA HUKO RWANDA

Diamond Platnumz ameuanza vizuri mwaka mpya baada ya kuwaangushia bonge la shoo wakazi wa Rwanda usiku wa Jan 01 waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Amahoro uliopo jijini Kigali nchini humo ikiwa ni moja ya ziara yake kimuziki Diamond aliyekuwa ameongoza na mpenzi wake Zari Katika shoo hiyo aliamua kuwasapraiz mashabiki kwa kulipandisha kundi la Mkubwa…

PICHA 35 ZA ZIARA YA KIMUZIKI YA DIAMOND NCHINI BURUNDI

Msanii nyota wa muziki wa Bongoflava, Naseeb abdul ‘Diamond Platnumz’ ameangusha shoo ya nguvu katika mji mkuu wa Burundi ‘Bujumbura’ usiku wa kuamkia leo(Dec.28) iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa watu ikiwa ni moja ya ziara yake kimuziki. Diamond aliondoka nchini Jumamosi(Dec.27) akiwa  na kikosi kizima cha Wasafi kupitia njia ya Kenya ambapo aliungana na mpenzi…

DIAMOND, VANESSA MDEE, ELANI, WEASLE NA RADIO WANG’ARA TUZO ZA AFRIMA 2014 NCHINI NIGERIA

Tuzo za Africa Music Awards ‘AFRIMA’ zimefikia kilele chake usiku wa Desemba 27 baada ya kufanyika nchini Nigeria ambapo kwa ukanda wa Afrika mashariki tumefanikiwa kutwaa Tuzo nne kutoka kwa  Diamond(Tanzania), Vanessa Mdee(Tanzania), Elani(Kenya), Radio na Weasel(Uganda) katika vipengele 13 vilivyokuwa vinawaniwa. Akionyesha kufurahia ushindi huo, Hitmaker wa Closer ‘Vee Money’ alipost picha kwenye mtandao…

PICHA : HONGERENI WADAU KWA KULAMBA NONDOZZZ

Blogu ya larrybway91 inawapongeza wadau wake wote waliofanikiwa kupata shahada zao za masomo kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo ndani na nje ya nchi kwa mwaka 2014 baada ya kusota darasani  kwa kipindi kirefu sambamba na kupitia changamoto nyingi ikiwa ni  katika kutimiza ndoto zao walizojiwekea tangu hapo awali.    Kwa wale wenye picha za sherehe,…

PICHA : DIAMOND, ZARI WAWEKA HISTORIA NCHINI UGANDA

Wenyewe wanakwambia Tatizo Nyotaaa!!! Hitmaker wa My Number One na mshindi wa Tuzo tatu za Channel O Music, Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarinah wameweka historia ya aina yake nchini Uganda baada ya kuangusha bonge moja la party lililopewa jina la ”Zari All White Ciroc Party” iliyofanyika Alhamisi(Dec.18) kwenye ukumbi wa Guvnor jijini Kampala na…

HAWA NDIO WASHINDI WA MTV VIDEO MUSIC AWARDS

Hawa ndio washindi waliofanikiwa kurudi majumbani mwao na  Tuzo za MTV Video Music Awards zilizofanyika  Agosti 24 Inglewood mjini California nchini Marekani.  Icheki Orodha nzima hapo chini VIDEO OF THE YEAR: Iggy Azalea ft. Charli XCX – “Fancy” Beyoncé ft. JAY Z – “Drunk In Love” Pharrell Williams – “Happy” Sia – “Chandelier” Miley Cyrus…

TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

  Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania. Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na…