BEBE COOL AVUTA MKOKO WA BEI MBAYA

Mwanamuziki mashuhuri wa Uganda, Moses Sali,  maarufu kwa jina la steji ‘Bebe Cool’ ameamua kujipongeza kwa kununua mkoko(gari) wa bei mbaya. Nyota huyo ali-post picha ya gari lake jipya la kifahari aina ya ‘Mercedes Benz CLS  350′ kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram. ”Maisha ni vile unavyoyatengeneza, kama utasafiri salama, daima utafikia sehemu uliyokusudia”, aliandika Bebe.…

ASTON MARTIN KUJA NA TOLEO JIPYA LA 2015 AINA YA VULCAN

Kampuni mashuhuri ya kutengeneza magari ya kifahari yenye makao yake makuu nchini Uingereza, Aston Martin Lagonda Limited wanatarajia kuzindua tolea jipya la mwaka 2015 aina ya Aston Martin Vulcan katika maonyesho ya Geneva Motor Show ambayo yanatarajia kufanyika mwaka huu yatakayoshirkisha nchi takribani thelathini. Baadhi ya vikolombozwe vinavyotajwa kuwepo katika mkoko huo  ni pamoja na…

DAVIDO AMPROVE WRONG MWALIMU WAKE WA SEKONDARI

Mafaniko ni silaha ua nyenzo tosha ya kuwaumbua wale watu waliokuwa wakidhani hutoweza kufanikiwa.  Mkali wa miondoko ya Afro Pop kutoka Afrika Magharibi yaani Nigeria, David Adedeji Adeleke A.K.A Davido amemprove wrong mwalimu wake wa Sekondari aliyekuwa akimwambia kwamba hatokuja kufanikiwa katika maisha yake. Davido amemtupia dongo hilo mwalimu wake huyo aliyekuwa akimfundisha somo la…

TIMAYA AUNZA MWAKA MPYA NAMNA HII

Mwaka jana umeonekana kumtendea haki mkali wa dancehall kutoka Nigeria, Timaya baada ya kujipongeza kwa kununua mkoko wa kifahari aina ya Lexus Jeep pamoja na kuuonyesha mjengo wake mpya uliopo eneo la Bonny Island jijini Lagos. Timaya ali-post picha za mjengo na mkoko wake kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram na kuwashukuru  mashabiki, madj na…

OMMY DIMPOZ AVUTA MKOKO MPYA

Msanii nyota wa muziki wa Bongofleva,  Omar Nyambo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kujipongeza katika msimu huu wa sikukuu za Christmas kwa kununua mkoko mpya aina ya Toyota Prado. Hitmaker uyo wa Tupogo aliposti picha za mkoko wake kwenye mtandao wa Instagram na kisha kuandika, ”Christmas present for my self 😋😜……thanks Allaah for Everything Tukutane January Inshaallaah…for…

HAYA NDIO MAGARI 10 GHALI YALIYOPIGWA MNADA MWAKA 2014

Kwa mujibu wa wataalam wa masuala ya masoko kutoka kwenye  kampuni moja kubwa ya bima inayofahamika kwa jina la Hagerty, wametoa orodha ya magari 10 ghali yaliyopigwa bei kwenye minada mbalimbali kwa mwaka 2014.  Utazame mkeka kamili hapo chini pamoja na bei zilizotumika kuyauza. 1962 Ferrari 250 GT Coupe – Dola Milioni 6.875 1965 Ford…

I WOKE UP IN A NEW BUGATTI!!! WIZ KHALIFA ANUNUA MKOKO WA KIFAHARI AINA YA BUGATTI VEYRON

Rapa wa marekani anayetamba na ngoma ya ”We Them Boyz”, Wiz Khalifa mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia Dola za kimarekani milioni 30 ameamua kuufunga mwaka 2014 kwa kununua mkoko wa bei mbaya aina ya Bugatti Veyron uliomgharimu takribani dola za kimarekani milioni 2.5(Tsh 4 Bilioni). Ukiachilia mbali Wiz Khalifa, masupastaa wengine wanaomiliki mkoko kama huo  ni…

PICHA : FRENCH MONTANA AANIKA NDINGA ZAKE ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI

Baada ya kuhustle kwa kipindi kirefu, Rapa mwenye asili ya Morocco,French Montana, amewaonyesha mashabiki  wake jinsi  muziki unavyomtendea haki, baada ya kuanika mikoko ya kifahari  anayomiliki kwa sasa. Jalida la DubMagazine liliweza kupata nafasi ya kufanya mahojiano nae pamoja na kutembelea gereji  yake na kukuta ndinga za hatari anazomiliki staa huyo ikiwemo  2012 Rolls-Royce Ghost,…

TASTE THE MONEY : P-SQUARE WAONYESHA JEURI YA PESA

Washika vipaza wa Nigeria, kundi la muziki la P-Square wameendelea kuTaste The Money baada ya Peter Okoye kutumia ukurasa wake wa Instagram  kushea na mashabiki picha za mikoko  ya kifahari wanayomiliki. Miongoni mwa magari hayo ni pamoja na Bentley GT tolea la mwaka 2014 alilonunua  miezi 3 iliyopita,  Jeep Wrangler toleo la mwaka huu linalomilikiwa…

PAUL OKOYE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA JEEP WRANGLER

Baada ya kuachia Video yao mpya ya ‘Taste The Money’ inayofanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya Luninga, Memba anayeunda kundi la Psquare ‘Paul Okoye’ ameonyesha jeuri ya pesa baada ya kununua mkoko mpya aina ya ‘2014 Jeep Wrangler SUV’ na kuupachika  jina la utani ‘New Kid’ . Hiyo inaonyesha wazi ni jinsi gani sanaa ya…