NGOMA MPYA : LEE CHATTO – WANAPAGAWA

Mwanamuziki chupikizi wa Bongo Fleva, Ally Chatto A.K.A Lee Chatto ambaye ameonyesha kuwa na kipaji cha hali ya juu katika kuchana licha ya umri wake mdogo. Ameachia ngoma yake ya kwanza inayoitwa “Wanapagawa” ambayo imefanywa kwenye studio za Sound Special chini ya Producer Tytah. Isikilize na kuipakua hapa       Advertisements

NGOMA MPYA : RONY – MABEBE

Msanii wa muziki wa kizazi  kipya ‘Rony’ ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Mabebe ambayo imefanywa kwenye studio ya Skeleton Music Production chini ya Producer S2keys. Isikilize na kuipakua hapo chini 

NGOMA MPYA : AIDALY CLASSIC – LONGO LONGO

Msanii chipukizi wa muziku wa kizazi kipya, Aidaly Classic ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la LONGO LONGO ambayo imefanywa ndani ya studio za Big Base chini ya mikono hatari ya Producer Taita.  Ipakue na kuisikiliza hapo chini

NGOMA MPYA : EKA INJILI – USINIACHE

Rapa anayezitendea haki nyimbo za kumsifu Mungu maarufu kama Gospel/Injili’ Eka injili’ ameachia rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la usiniache ambayo imefanywa na Producer B-Sound.  Ipakue na kuisikiliza hapo chini kwa mara ya kwanza

NGOMA MPYA : RON FEAT. MATONYA – TEREMKA

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi ya ajabu, Ron ameachia single yake mpya ”Teremka” akiwa amemshirikisha Matonya kwa upande wa chorus.  Ngoma imefanywa kwenye studio za Power House of Music chini ya mikonop hatari ya Producer Jack Power.  Pata kibali cha kuisikiliza na kuipakua hapo chini.      

BARAKAH DA PRINCE : NIMEJIPANGA KINOMA NOMA MWAKA HUU

Hitmaker wa Jichunge, Barakah Da Prince amesema  kuwa mwaka huu amejipanga ipasavyo ili kuweza kuleta mapinduzi na ladha mpya katika gemu la muziki wa Bongo Fleva. ”Watu inabidi tufanye muziki mzuri, nimejipanga kinoma noma mwaka huu, nataka nilete mapinduzi alafu nilete na taste mpya katika industry ya muziki wa Bongo Fleva”, alisema Barakah katika mahojiano…

NGOMA MPYA : MABESTE – USIWE BUBU

Baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu, hatimaye hitmaker wa Baadae sana, Mabeste Venance ‘Mabeste’ amedondosha ngoma yake mpya ‘Usiwe Bubu’ ambayo imefanywa na producer Brian moses ‘B-Rapper’ wa Goodboy Recordz.  Isikilize na kuipakua hapo chini

NGOMA MPYA : MADEE – VUVULA

Safari ya Madee, Chege na Temba nchini Afrika Kusini mwezi Desemba mwaka jana haikwenda bure baada ya kufanikiwa kufanya baadhi ya ngoma na video nchini humo, ikiwemo Kaunyaka iliyotoka wiki iliyopita na Vuvula ambazo zote zimefanywa na Dj Maphorisa.  Isikilize na kuipakua hapo chini  

NIKKI MBISHI AMJIBU NAY WA MITEGO KWA FREESTYLE…ISIKILIZE HAPA

Rapa wa Tamaduni Muzik, Nikki Mbishi amemjibu  Nay wa mitego kupitia freestyle ya dakika moja ambayo ameiachia hewani kufuatia hitmaker uyo wa Nakula ujana kumwambia  amechelewa kuacha muziki. Wiki moja iliyopita  Mbishi alitangaza kuacha  muziki kupitia akaunti yake ya Twitter hali iliyopelekea baadhi ya wasanii wenzake kumtaka arudi kwenye gemu akiwemo Professor Jay. Katika Freestyle…