KICHUPA KIPYA : CHEGE & TEMBA Ft. EMMY WIMBO – GO DOWN {Official Video}

chege na temba

Kufutia kukaa kimya kwa muda mrefu, kundi la wakata mkaa linaloundwa na Chege na Temba wameachia video mpya ya wimbo wao “Go Down” wakiwa wamemshirikisha mwanadafada Emmy Wimbo.

Video ya Go Down imefanywa na Kwetu Studio wakati kwa upande wa audio ikifanywa na ma-producer watatu ambao  Ambrose Dunga,  Masai na B skills ndani ya studio za jikoni, itazame kwa mara ya kwanza.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s