BLAC CHYNA KATIKA MUONEKANO WA KIBANTU

Chyna1

Supastaa na mzazi wa Rapa Tyga, Blac chyna, ametupia baadhi ya picha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram zikimuonyesha akiwa amesuka mtindo wa kibantu ambao hutumiwa sana na wanawake wengi wa ki-Afrika.

Kama hiyo haitoshi staa huyo alitumia mwanya huo kuwaonyesha mashabiki wake pete ya uchumba aliyovishwa na mdogo wa kiume wa Kim Kardshian aitwaye Robby siku chache zilizopita.

Chyna2Chyna3

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s