50 CENT AMDISS P.DIDY

Rapa 50 cent amekuwa akisifika kwa kupenda ma-bifu na wasanii wenzake ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakipelekea uhasama baina yao.

diddy vs 50 cent

Safari hii hitmaker huyo wa In Da Club, amemdiss mmilikiwa studio za bad Boys, Sean Combs A.K.A P.Diddy kwa kumwambia kuwa hana sifa za kuitwa msanii.

Akichezesha taya kwenye mahojiano aliyofanyiwa na Dj Enuff, 50 Cent alikuwa na haya ya kusema :

[Diddy] ni mtu ambaye husimama nyuma ya mtu flani kuweza kupata mafanikio. Aliwahi kuwa karibu na Biggie, Mase, Craig Mack, The Lox, Lil Kim. Wapi uliwahi kumuona akisimama kama mwenyewe? Hata katika nyimbo zake amekuwa akishirikisha wasanii wengi kwa sababu sio msanii.  Yeye ni Promota wa sherehe, mfanyabiashara, producer n.k lakini sio msanii”.

Dongo hilo ni mwendelezo wa bifu lao ambalo hapo awali lilikuwa linahusisha masuala ya ushindani wa kibiashara baina ya vinywaji aina ya Vodka wanavyomiliki, yaani Effen Vodka ya 50 cent na Ciroc ya Diddy.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s