PICHA : BIRTHDAY YA MIAKA 2 YA EFM 93.7 NDANI YA MAISHA BASEMENT

 

Keki ya Efm

Kituo maarufu mjini cha utangazaji, Efm, kinachopatikana kwenye masafa ya 93.7 jijini Dar es salaam, mwanzoni mwa juma hili(Jumatatu) waliangusha bonge la birthday katika kusherekea kutimiza miaka 2 tangu kuzaliwa kwake ndani ya ukumbi wa burudani wa maisha Basement.

Wahenga wanakwambia mwenye macho haambiwi tazama, nisikuchoshe sana fanya kutazama hapo chini ujionee mambo yalivyokuwa.

Majjizo

Mkurugenzi Mtendaji(C.E.O) wa Efm  ‘Francis Ciza’ A.K.A Dj Majizzo akikata keki

Bwana. Omary, muwakilishi kutoka WambiLube akitoa pongezi zake

Bw. Omary ambaye ni mwakilishi kutoka WambiLube akitoa pongezi kwa team nzima ya Efm

EFM Majizo

EFM Team

Haikuwa rahisi kufika hapa tulipo tuna kila sababu ya kukushukuru mdau wetu

Kutoka E-gospel na Ngoma Raggae tunakushukuru kwa kuichagua E-fm

Mpoki

Mvunja mbavu na Mtangazaji wa EFM, Mpoki Mjuni akimhoji mmoja wa wageni waliohudhuria 

Wasakata rumba

Wafanyakazi na wadau wa EFM wakisakata sebeni ndani ya Maisha basement

Watangazaji wa Efm Dinna Marios na AshaManga

Watangazaji wa Efm, Dina Marios(Kushoto) na Asha Manga wakisakata rumba

Picha Kwa Hisani ya Efm 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s