TAZAMA MUONEKANO MPYA WA JUSTIN BIEBER

Supastaa daraja la kwanza asiyehishiwa vituko kila kukicha, Justin Bieber, amewa-suprise mashabiki wake kwa kutokelezea na mtindo mpya wa nywele.

Justin Bieber

Justin Bieber akiwa kwenye muonekano mpya wa Dreadrocks

Muimbaji huyo Raia wa Canada aliwashangaza mashabiki wake wakati alipokuwa aki-perform kwenye sherehe za utoaji Tuzo za iHeartRadio akiwa amesokota nywele zake(Dreadrocks) na kumfanya kuwa kivutio kikubwa jukwaani.

katika Tuzo hizo, Bieber alifanikiwa kunyakuwa Tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka huku Taylor Swift akiongoza katika orodha ya wasanii  kwa kunyakua jumla ya tuzo nne usiku huo.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s