BEBE COOL AVUTA MKOKO WA BEI MBAYA

Bebe Cool

Mwanamuziki mashuhuri wa Uganda, Moses Sali,  maarufu kwa jina la steji ‘Bebe Cool’ ameamua kujipongeza kwa kununua mkoko(gari) wa bei mbaya.

Nyota huyo ali-post picha ya gari lake jipya la kifahari aina ya Mercedes Benz CLS  350′ kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram.

”Maisha ni vile unavyoyatengeneza, kama utasafiri salama, daima utafikia sehemu uliyokusudia”, aliandika Bebe.

Inaaminika kuwa sehemu kubwa ya mkwanja alioupata kupitia kwenye kampeni za urais nchini humo zimemuwezesha kununua gari hilo lenye thamani ya milioni 500 za Uganda.

Congrats Bebe, Hard Work Pays Off! 

Bebe

Bebe Cool(Wa kwanza kushoto) akiwa na mwanamuziki mwenzake , Jose chameleone, kwenye kampeni za urais nchini Uganda

benz cls

Picha ya gari aliyo-post Bebe kwenye ukurasa wake wa Insta

Mercedes benz Cls 350

Pichani ni mfano wa gari aina ya mercedes Benz CLS 350 kama alilonunua Bebe Cool

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s