ANDY MURRAY APATA MTOTO WA KIKE

Mchezaji nyota wa mchezo wa tenesi Duniani, Andy Murray na mkewe ‘Kim Sears’ wamebahatika kupata mtoto wao wa kwanza wa kike wikiendi iliyopita.

Andy murray

Andy Murray na Kim Sears wakiwapungia waalikwa siku ya sherehe yao

Hata hivyo jina la mtoto huyo alikuweza kufahamika mara moja huku taarifa rasmi kutoka kwenye familia ya wanandoa hao ikisubiriwa.

Mashabiki na wadau mbalimbali wa michezo Duniani wameweza kumpongeza nyota huyo kwenye mitandao ya kijamii kama vile Twitter na Facebook.

Tweets

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s