TP MAZEMBE MABINGWA BARANI AFRIKA KWA MARA YA TANO, WAITUNGUA 2 – 0 USM ALGER

Tp Mazembe

Klabu ya Tp Mazembe ya nchini Congo inayomilikiwa na bilionea, Moise Katumbi, imeweka rekodi mpya hapo jana baada ya kuilaza USM Alger ya Algeria kwa mabao 2 – 0 katika mchezo uliochezwa nchini humo.

Bao la kuongoza kwa Tp Mazembe liliwekwa kimyani na mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa mkwaju mkali wa penalti kabla ya mchezaji Raia wa Ivory Coast, Roger Assale na kuhitimisha ushindi huo.

Kwa matokeo hayo yanaifanya Tp Mazembe kuwa klabu ya kwanza barani Afrika katika nchini zilizo kusini mwa jangwa la Sahara kunyakua kombe la klabu bingwa Afrika kwa mara ya tano.

 

 

Advertisements

One thought on “TP MAZEMBE MABINGWA BARANI AFRIKA KWA MARA YA TANO, WAITUNGUA 2 – 0 USM ALGER

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s