VIDEO : PALE KWAITO LINAVYOKOLEA NA KUPELEKEA KUMPIGA MWELEKA MREMBO HUYU

Kwaito Sio mchezoNi utamaduni wetu hasa wa watu wa Afrika kupenda kujumuika pamoja katika matukio mbalimbali kama vile misiba, Sherehe, maafali na mengineyo.

Kama hiyo haitoshi tumekuwa tukishuhudia vioja mbalimbali vikitokea katika shughuli hizo, vingine vikifanywa kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Blog ya Larrybway91 imefanikiwa kuinyaka moja ya video ikimuonyesha mrembo mmoja akisakata Kwaito na wenzake kwenye sherehe ambayo inaonekana wazi walikuwa wamealikwa.

Lakini katika hali ya sintofahamu akajikuta akishindwa kucheza  baada ya urefu wa viatu alivyokuwa amevaa ‘High heels’ kumkosesha muolekeo na kujikuta akipiga mweleka.  Itazame hapo chini mpenzi msomaji

[youtube   https://www.youtube.com/watch?v=S5UaDXiXXL0&w=620&h=415%5D

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s