JERRY MURO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Jerry MuroMkuu wa Idara ya habari  na mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro, amefiwa na baba yake mzazi, mzee Cornel Muro usiku wa kuamkia leo.

Kifo cha baba Mzazi wa Muro kimetokea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hapo jana mishale ya saa 3 usiku baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu saratani ya koo la chakula.

Kwa taarifa na matukio zaidi ya picha endelea kutembelea Blogu yako ya Larrybway91.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina La Bwana libarikiwe

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s