MGOMBEA MWENZA : JOHN POMBE MAGUFULI MGOMBEA URAIS C.C.M 2015

 Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Biharamulo Mashariki kupitia tiketi ya C.C.M, John Pombe magufuli amechaguliwa kuwania kiti cha urais C.C.M Bara.

John MagufuliUteuzi huo umekuja kufuatia mchujo wa makada wa tano waliopitishwa na kamati kuu ya maadili ukiongozwa na mwenyekiti wa C.C.M taifa, Dkt Jakaya mrisho Kikwete na kupatikana watatu waliochaguliwa na halmashauri kuu ya Taifa ‘NEC’ na majina yao kupigiwa kura katika mkutano mkuu wa Taifa uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Dodoma Convention center mjini hapa.

Akitangaza matokeo hayo, spika wa Bunge la Tanzania, Mhe: Anna Makinda, amesema katika jumla ya kura 2422 zilizopigwa na wajumbe wa halmashauri kuu, John Pombe Magufuli aliweza kuibuka kidede kwa kupata kura 2104 sawa na asilimia 87.1, akifuatiwa na Balozi Amina Salum aliyepata Kura 253 ambazo ni sawa na asilimia 10.5 na Dkt.Asha Rose-Migiro aliyepata kura 59 sawa na asilmia 2.4 huku kura 6 zikiharibika.

 

 

 

Advertisements

4 thoughts on “MGOMBEA MWENZA : JOHN POMBE MAGUFULI MGOMBEA URAIS C.C.M 2015

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s