MBUNGE JOSHUA NASSARI WA ARUMERU MASHARIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI YA CHOPA

Mbunge wa Jimbo la Arumeri Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Helkopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo.

Pichani ni ndege aina ya chopa aliyopata nayo ajali mbunge Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki ikiwa imezungukwa na watu baada ya kuanguka

Pichani ni ndege aina ya chopa aliyopata nayo ajali mbunge Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki ikiwa imezungukwa na watu muda mchache baada ya kuanguka

Habari kutoka Arumeru zinasema kuwa Helkopta hiyo ilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga mti na kunasa juu ya mti huo.

Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanisa la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha.

Mbunge wa Arumeru mashariki, Joshua Nassari katika picha, pembeni ni helkopta aliyopata nayo ajali

Mbunge wa Arumeru mashariki, Joshua Nassari katika picha, pembeni ni helkopta aliyopata nayo ajali

Picha na habari kwa hisani ya Father Kidevu Blog

Advertisements

One thought on “MBUNGE JOSHUA NASSARI WA ARUMERU MASHARIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI YA CHOPA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s