MRAMBA, YONA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA NA FAINI YA MILIONI 5 KILA MMOJA

Basili Mramba (wa pili kulia), Daniel Yona (kushoto), Gray Mgonja (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.

Basili Mramba (wa pili kulia), Daniel Yona (kushoto), Gray Mgonja (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imewahukumu kwenda jela miaka mitatu na kulipa faini ya milioni tano aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basir Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona huku ikimuachia huru aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja baada ya kumuona hana hatia. 

Vigogo hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.7.  Hukumu hiyo imetolewa chini ya jopo la mahakimu watatu ambao ni Hakimu Saul Kinemela, Jaji Sam Rumanyika na Jaji John Utamwa aliyekuwa mwenyekiti wa jopo hilo.

Habari na Picha kwa hisani ya Globalpublishers.info

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s