DIAMOND AMPIGIA SALUTI A.Y

Diamond X A.YDiamond Platnumz amemmwagia sifa kemkem mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessayah A.K.A A.Y ambaye alikuwa akisherekea  siku yake ya kuzaliwa wikiendi iliyopita (Julai,05) .

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, Diamond alianza kwa kumpongeza mwanamuziki huyo kwa kuweza kuwajengea daraja la kimataifa na kuongeza kuwa  ndiye aliyefanikisha collabo yake ya kwanza kimataifa na mwanamuziki wa Nigeria, Davido, jambo ambalo watu wengi walikuwa hawalifahamu.

Pia  kumuunganisha na muongozaji mahiri wa video kutoka Afrika Kusini, Godfather ambaye amekuwa akimuongozea video zake kama vile my number one remix, Nana pamoja na ntampata wapi.

Misingi na Daraja Imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa…Pengine watu Hawajui kuwa wewe ndio Uliye niwezeshea kufanikisha Collabo langu na Davido, Kuni Unga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio Mwanzo wa safari yangu ya Kimataifa… Nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi…Happy birthday Bro @Aytanzania @Aytanzania @Aytanzania”, aliandika Diamond

HAPPY BIRTHDAY AMBWENE YESSAYAH

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s