KTMA 2015 : ORODHA YA MAJINA YA WASHINDI WALIOTWAA TUZO ZA KILI

KTMA2015Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake baada ya kufanyika sherehe za utoaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music  ambapo wasanii wanaofanya muziki wa aina mbalimbali kama vile Hip Hop, Bongo Fleva, Dansi pamoja na Taarab waliweza kushindanishwa katika vipengele 33 vilivyokuwa vinawaniwa. 

Katika utoaji wa Tuzo hizo, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba aliweza kung’aa na kufanikiwa kumfunika hasimu wake mkubwa, Diamond, baada ya kutwaa Tuzo 5 dhidi ya 2 alizonyakua Rais wa Wasafii, akifuatiwa na mfalme wa miondoko ya Taarab, Mzee Yusph aliyenyakua Tuzo tatu.   Nisikuchoshe sana mpenzi msomaji fanya kuutazama Mkeka mzima hapo chini

Kikundi Bora cha Mwaka

 Yamoto Band

Kikundi Bora Cha Mwaka Taarab 

Jahazi Modern

Tuzo ya Heshima (Tanzania Hall Of Fame) 

Captain John Komba

Bendi Bora Ya Mwaka  

FM Academia

Wimbo Bora Wa Kushirikishwa/Kushirikiana

Mwana FA Feat. Ali Kiba – Kiboko Yangu  

Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia 

Barakah Da Prince

Wimbo Bora Wenye Vionjo Vya Asili Ya Tanzania

Mrisho Mpoto

Wimbo Bora Wa Zouk/Rhumba  

Diamond Platnumz

Wimbo Bora Wa Afro Pop

Ali Kiba – Mwana

Video Bora Ya Muziki Ya Mwaka

Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo

Mtayarishaji Bora Wa Nyimbo Wa Mwaka Band

Amoroso

Mtayarishaji Bora Wa Nyimbo Wa Mwaka Taarab 

ENRICO

Mtayarishaji Bora Wa Nyimbo Wa Mwaka Bongo Fleva

Nahreel

Mtunzi Bora Wa Mwaka Hip Hop

Joh Makini

Mtunzi Bora Wa Mwaka Bendi

Jose Mara

Mtunzi Bora Wa Mwaka Bongo Fleva

Ali Kiba

Mtunzi Bora Wa Mwaka Taarab 

Mzee Yusuph

Wimbo Bora Wa Afrika Mashiriki

Sauti Sol – Sura Yako

Msanii Bora Wa Hip Hop

Joh Makini

Rapa Bora Wa Mwaka Bendi 

FERGUSON

Wimbo Bora Wa Reggie/Dancehall

Maua Sama

Wimbo Bora Wa Hip Hop

Professor Jay Feat. Diamond Platnumz – Kipi Sijasikia

Wimbo Bora Wa R&B

Jux – Sisikii

Wimbo Bora Wa Kiswahili Bendi

Vijana Wa Ngwasuma – Wale Wale

Wimbo Bora Wa Mwaka

Ali Kiba – Mwana

Wimbo Bora Wa Taarab  

Isha Mashauzi – Mapenzi Hayana Dhamana 

Mwimbaji Bora Wa Kiume Bendi 

Jose Mara

Mwimbaji Bora Wa Kike Taarab 

Isha Mashauzi

Mwimbaji bora wa kiume Taarab

Mzee Yusuph

Mwimbaji Bora Wa Kike Bongo Fleva

Vanessa Mdee

Mwimbaji Bora Wa Kiume Bongo Fleva

Ali Kiba

Mtumbuizaji bora wa muziki wa kike wa Mwaka

Vanessa Mdee

Mtumbuizaji Bora Wa Muziki Wa Mwaka Wa Kiume

Ali Kiba

Advertisements

One thought on “KTMA 2015 : ORODHA YA MAJINA YA WASHINDI WALIOTWAA TUZO ZA KILI

  1. Ali kiba habari ya mjini wapeleke brother tunawasubiri na mwakani 2016 achana na nasib mwingi wa maneno anaimba nyimbo zisizo na ujumbe. piga kazi kaka pamoja sana by..jay baba lao! napatikana nyegezi mwanza tz.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s