KIM KARDASHIAN AMUANGUSHIA KANYE WEST BONGE LA BIRHDAY

Mwanamitindo nyota na star wa kipindi cha televisheni cha KEEPING UP WITH THE KARDASHIANs, Kim K, amemdondoshea bonge moja la birthday baba wa mtoto wake, Kanye West wakati alipokuwa akisherekea kutimiza umri wa miaka 38.

Yeezy

Kanye West(Wa Katikati) akisubiriwa kudribble mpira katika uwanja wa Staples Center uliokodiwa na Mkewe Kim Kardashian

Inaelezwa kwamba Kim Kardashian aliteketeza takribani dola 110,000 kukodisha uwanja mkubwa wa basketball wa Staples Center ambapo Kanye West na marafiki zake waliweza kucheza kidogo na kisha kufuatia zoezi zima la kata keki tule.

Kama hiyo Haitoshi, Kim alitumia ukursa wake wa Instagram ku-post picha ya Kanye West alipokuwa mdogo na ku-add caption moja amaizing.  Happy Cake Daddy“- North, aliandika Kim

Mastaa waliohudhuria birthday hiyo ni pamoja na Mchezaji wa Houston Rockets, James Harden, beki wa Oklahoma City Thunder, Russell Westbrook, John Wall, Rapa Tyga, Justin Bieber na Pusha T.

Kanye West1

Kanye West akikata Keki huku akipigwa picha na Kim

Kim K

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s