TAZAMA LULU ALIVYOITENDEA HAKI NGOMA MPYA YA DIAMOND ‘NANA’

Diamond na LuluMbali na kuwa mwigizaji mwenye uwezo mkubwa, Elizaberth Michael A.K.A Lulu ameonyesha upande wa pili wa kipaji chake baada ya ku-post video fupi kwenye ukurasa wake wa Instagram akicheza ngoma mpya ya mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz inayoitwa ”Nana Sankoro” ambayo amemshirikisha mwanamuziki Flavour wa Nigeria.

Imenifika HapaaaaaaaaaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆANGALIZO:Video hii itadumu kwa muda wa dakika 1 ️na Nusu tuπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆIna HADI part 10πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆalafu Hapa nimecheza kwa Aibu πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆDai Nipe kazi kama vpπŸƒπŸƒπŸƒaliandika Lulu.Β  Itupie jicho hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s