MAKE IT RAIN!!! FLOYD MAYWEATHER AMWAGA MVUA YA HELA HUKO HOUSTON

Floyd Mayweather JrBaada ya mwezi mmoja kupita tangu alipomtwanga mpinzani wake, Manny Pacquaio, kwa ushindi wa Pointi na kufanikiwa kujinyakulia dola milioni 150, Bondia Floyd Mayweather Jr ameendeleza mbwembwe zake kufuatia kumwaga mvua ya hela katika klabu moja ya usiku huko Houston nchini Marekani.

Ishu hiyo ilitokea kwenye klabu ya Vlive jumamosi iliyopita ambapo bondia huyo alitinga katika klabu hiyo akiwa na wapambe wake na kwenda kukae eneo maalum la VIP na ilipofika mishale ya saa 8 usiku ndipo alipoanza kumwaga mvua hiyo ya hela.

Mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wanasema kwamba Bondia huyo alirusha mabunda ya hela hewani kwa mkupuo yanayokadiriwa kufikia dola za kimarekani elfu 35(Tsh 70mil) huku nyingine akiwamwagia wanawake maalum wanaotumika kucheza katika kumbi hizo maarufu kwa jina la Strippers.   Tazama jinsi ilivyokuwa hapo chini

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s