DAVIDO ALAMBA NONDOZZZZZZ

Rapa nyota wa Nigeria, Davido, amefanikiwa kupata shahada yake ya kwanza ya masuala ya muziki katika chuo kikuu cha Babcock kilichopo nchini humo.Davido Official

Katika mahafali hayo Davido alipata kampani ya nguvu kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa karibu akiwemo baba yake mzazi, Mr.Adeleke, Don Jazzy, B Red pamoja na kaka na dada zake.

Akiongea kwa niaba ya walimu wengine, mkuu wa idara ya muziki chuoni hapo, Olusegun Ojuola, amesema Davido alikuwa mwanafunzi mwenye akili na mtiifu katika kipindi chote cha miaka mitatu alichokuwa akisoma chuoni hapo. 

‘‘Well, the first thing I try to do is to dichotomise the artiste from the student. The Davido I know is an artiste, but the student I admitted into the department is Adedeji David Adeleke and the relationship has been like that all through.‘‘ alisema Ojuola

Tazama picha hapo chini

Pichani ni Davido akiwa na wanachuo wenzake katika mahafali ya 13 ya chuo chas Babcock

Pichani ni Davido akiwa na wanachuo wenzake katika mahafali ya 13 ya chuo chas Babcock

Davido-11Davido12Don-Jazzy-Reekado-Banks-B-Red

Davido1

Davido wa kwanza kushoto akipata ukodaki na mmoja wa ndugu zake

 

Davido2

Davido, Baba yake mzazi, kaka na dada zake katika picha ya pamoja wakati wa mahafali

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s