AMBER ROSE AKAVA KITABU CHAKE KIPYA AKIWA MTUPU(18+)

Mwanamitindo na mama wa mtoto wa mmoja, Amber Rose ameachia kihoja kingine cha mwaka baada ya kukava kitabu chake kipya akiwa kama alivyozaliwa.

Amber Rose1

Amber Rose

Kitabu hicho kinachoitwaHow to be a bad B**ch”  kinaelezea mwongozo wa kushinda maisha na kujenga himaya ambacho kitaakisi maisha yake kwa ujumla na mahusiano yake ya kimapenzi na marapa aliowahi ku-date nao.

Check out the Official cover for my book “How To Be A Bad Bitch” Shot by David LaChapelle and make sure you preorder your copy now on Amazon (link in bio) @simonandschuster @gallerybooks 💋 aliandika Amber Rose kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwataka mashabiki wake waanze kuweka oda mapema kabla hakijatoka.  

Tazama hapo chini kava la kitabu hicho

Amber Rose - How To Be A Bad Bitch

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s