AKON KUSAMBAZA UMEME KATIKA KAYA MILIONI 600 BARANI AFRIKA

Mwanamuziki wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, ameamua kulipa fadhila katika bara la Afrika baada ya kuanzisha mradi wake maalum wa kusambaza umeme.

AkonMradi huo unaojulikana kama ‘Akon Lighting Africa’ unatajwa kuja kuzinufaisha takribani ya kaya milioni 600 katika nchi mbalimbali barani Afrika ambazo zilikuwa zikiishi gizani kwa kipindi kirefu.

Pia mradi huo utaambatana na ufunguzi wa kituo maalum mchini Mali kitakachotoa elimu ya kutengeneza umeme kwa kutumia nishati ya jua ‘Solar’ itakayotumika kuzalisha umeme kwenye vitongoji mbalimbali barani hapa.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s