MAMA MZAZI WA BEYONCE AFUNGA PINGU ZA MAISHA

Tina Knowles

Tina Knowles na Richard Lawson katika pozi

Mama mzazi wa Beyonce, Tina Knowles, amefunga pingu za maisha na Mugizaji ‘Richard Lawson’ wikiendi iliyopita.

Hafla ya sherehe hiyo ilifanyika ndani ya boti maalum ya kukodi katika fukwe za Newport mjini California na kuhudhuriwa na watu wachache.

Mastaa waliohudhuria ni pamoja na Jay Z,  Blue Ivy, Beyonce,Solange sambamba na ndugu, jamaa na marafiki  wa karibu wote wakiwa wamevalia mavazi meupe.

IFWT_Tina5-480x480

Boti ambayo ilifanyika sherehe ya mama mzazi wa Beyonce

IFWT_Tina6-480x480

Bwana harusi akirekebishwa tai vizuri

IFWT_Tina3

Boti maalum ya kukodi yenye uwezo wa kubeba abiria 300 ikiwa imetia nanga ambayo ilitumika katika hafla hiyo

Mathew Knowles na Tina

Wazazi wa Beyonce kabla ya kutengana, Mather na Tina Knowles ambao walidumu katika ndoa kwa takribani miaka 31 kabla ya kutalikiana mwaka 2011 wakiwa wamefanikiwa kupata watoto wawili wa kike, Beyonce na Solange

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s