MADONNA, DRAKE WADENDEKA JUKWAANI

Madonna & DrakeMwanamuziki nyota wa Pop Duniani asiyehishiwa vituko kila kukicha, Madonna, ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kudendeka na Rapa wa Young Money, Drake jukwaani huku wakishuhudiwa na maelfu ya mashabiki.

Tukio hilo lilitokea wakati Drake(28) na madonna(56) wakiperform katika tamasha la kubwa muziki na sanaa lijulikanalo kama ‘Coachella’ ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.

Hii sio mara ya kwanza kwa Madonna kuwafanyia kitendo kama hicho  mastaa wenzake, miongoni mwao akiwemo Nicki Minaj, Britney Spears na Christina Aguilera.

Madonna Drake

Drake  Madonna1

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s