FASHOOONI!!! JADEN SMITH ATINGA MTAANI AKIWA AMETUPIA KIVAZI CHA KIKE

Mtoto wa kiume wa mcheza filamu nyota wa Hollywood, Will Smith, Jaden, ame-break the internet baada ya kuonekana akiwa ametinga sketi fupi nyeusi.

Jaden Smith

Pichani ni Jaden Smith akiwa ametinga sketi fupi huku akikata mitaa

Staa huyo wa Karate Kid, alionekana akikatiza kwenye mitaa ya Calabas jijini California pasipo kuonyesha wasiwasi wowote Alhamisi iliyopita.

Jaden mwenye umri wa miaka 16 amekiri wazi kuvaa vazi hilo la kike kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter. 

That Moment When Your Wearing A Dress With No Pants And You Swerve Way To Hard.” aliandika Jaden

 

 

Advertisements

2 thoughts on “FASHOOONI!!! JADEN SMITH ATINGA MTAANI AKIWA AMETUPIA KIVAZI CHA KIKE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s