ABDU BONGE KUZIKWA LEO MOROGORO

Maziko ya aliyekuwa Muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Marehemu Abdu Bonge yanatarajia kufanyika leo Makuyuni Mkoani Morogoro, baada ya zoezi la uchunguzi wa mwili wa marehemu na shughuli za uagaji kukamilika jijini Dar.

Marehemu Abdu Bonge amepoteza maisha usiku wa jumamosi baada ya kusukumwa na kuanguka alipokuwa akiamua ugomvi wa majirani zake.

Chanzo : EATV

 

Advertisements

One thought on “ABDU BONGE KUZIKWA LEO MOROGORO

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s