KICHUPA KIPYA : DIAMOND PLATNUMZ FT. KHADIJA KOPA – NASEMA NAWE [Official Video]

Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameachia rasmi video yake mpya ʽʽNasema Naweˮ yenye mahadhi ya pwani/mduara huku akiwa amemshirikisha malkia wa Mipasho, Bi Khadija Omary Kopa wakati kwa upande wa production ikiongozwa na Director Hanscana.

Diamond na KopaʽʽSi Mrusho Vibaoni Hadi kwenye Vigodoro… Uso na Haya Usoni kote wazua Migogoro… Hivi we Haujioni, Kuwa una kasoro?… Usio Mchana Jioni si wajuzi si Tomorrow ˮ, hiyo sehemu ya mistari inayopatikana kwenye ‘Nasema Nawe’ ambayo imepikwa na Producer Tudd Thomas.  Itazame hapa kwa mara ya kwanza

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s