WAGANGA WA KIENYEJI WAWACHIMBA MKWARA POLISI

PolisiWakati msako wa kuwakamata waganga wapiga ramli chonganishi ukiendelea nchi nzima hasa katika mikoa ya kanda ziwa, jeshi la polisi nchini limepewa onyo toka kwa wanganga wa jadi juu ya vifaa vinavyokamatwa wakati wa msako wao.

Jeshi hilo limepewa tahadhali ya kukumbana na hatari yeyote baadaye ikiwa wataendelea kukamata vifaa hivyo vikiwamo vibuyu, vitambaa vyeupe na vyeusi, ngao, mikuki pamoja na shanga huku likitakiwa kurejesha mara moja baadhi ya vifaa hivyo ambavyo vimekamatwa.

Chanzo : EATV

Advertisements

One thought on “WAGANGA WA KIENYEJI WAWACHIMBA MKWARA POLISI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s