MAKUBWAAAA!!! MADONNA ATAKA KUWA MKE WA PILI WA JAY Z

Malkia wa muziki wa pop Dunia, Lady Madonna, amesema anatamani kupata nafasi ya kuwa mke wa pili wa rapa Jay Z.

Madonna X Jay ZMadonna ameyasema hayo baada ya kuona kila mialiko anayotoa Rais Obama imekuwa ikimpita pembeni na hivyo kulazimika kusema wazi kuwa labda angeolewa na Jay Z angeweza kupata mwaliko.

Miongoni mwa watu naotaka kukutana nao ni Rais Obama”, Madonna aliuambia mtandao wa US Weekly na kuongeza, ”yeye anapaswa kuwa tayri amekwisha nialika.   Labda anadhani nitashtushwa sana kuwa pale.

au kama ningekuwa nimeolewa na Jay Z, angeweza kunifanya kama mke wake wa pili , alafu ndio ningeweza pata mualiko”.

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s