KYLIE JENNER AMTAMBIA BLAC CHYNA MTANDAONI

Mdogo wa kufukia wa Kim Kardashian, Kylie Jenner, anadaiwa kumtambia ex na baby mama wa Rapa Tyga, Blac Chyna, kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

kim-kylie-tyga-blac-chynaIshu hiyo inatajwa kutokea usiku wa jumanne(Mar.24) baada ya Chyna ku-post picha Instagram  akiwa ametupia saa ya bei mbaya inayosemekana alinunuliwa na Tyga enzi za mapenzi motomoto. 

Hata hivyo haikupita muda, Kylie nae aliamua kumjibu zilipendwa huyo wa Tyga kwa ku-post picha akiwa na saa inayofanana na yake na kuandika ,Currently”.

Blac Chyna Vs Kylie

Kushoto ni picha aliyo-post Blac Chyna kwenye mtandao wa Instagram kabla ya Kylie(Kulia) kujibu mapigo masaa 4 mbele

Blac Chyna  amejikuta akiingia kwenye vita baridi ya maneno na familia ya Kardashians tangu apigwe chini na Tyga, sababu ikitajwa kuwa ni Kylie(17) kutoka kimapenzi na baba watoto wake.

Huku tofauti ya umri kati yao ikionekana kupigwa vita na baadhi ya mastaa akiwemo Amber Rose ambaye aliamua kuitolea uvivu familia ya Kim K majuma kadhaa yaliyopita. 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s