AFANDE SELE ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE MOROGORO

afande seleMwanamuziki wa kizazi kipya, Suleimani Msindi ‘Afande sele’, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).

Msanii huyo ametangaza azma yake baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama cha Chadema akifuata nyayo za Mheshimiwa Zitto Kabwe.  Nini ungependa kumshauri Afande Sele?

Chanzo : EATV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s