BAUCHA AMUANIKA BINTI YAKE, SHE’S SO CUTE

Hitmaker wa Champododo, Titto Baucha, amewaonyesha mashabiki wake kuwa amekwisha kula magunia mengi ya chumvi baada ya kutokelezea katika picha ya pamoja na binti yake mkubwa aitwaye Natacia.

Tito Baucha na mtoto wakeMmiliki huyo wa studio za Baucha Records aliandika, ”Baucha,Natacia” na  kuwapa nafasi fans wake kucomment katika picha hiyo aliyopost katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook.  Tazama baadhi ya Comment hizo hapo chini

Chismo Brezzy : safii mkubwa

Radhiya Abdi Mashallah  : kakua mwanetu safi mtupu

Gulu Ramadhani Nanji  : nice

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s