PICHA ZA MAZISHI YA KOCHA WA ZAMANI WA TAIFA STARS ʽSYLVESTER MARSHʼ JIJINI MWANZA

Meya wa Jiji la Mwanza , Stanslaus Mabula alisema,jiji la Mwanza akielezea wasifu wa marehemu Marsh, ikimbukwe kuwa Mstahiki ndiye mlezi wa kituo cha soka cha Marsh Academy.

Mamia ya wakazi wa jiji la Mwanza wameungana pamoja kuuaga mwili wa aliyekuwa kocha wa timu ya Taifa, Sylvester Marsh, aliyefariki Dunia kutokana na tatizo la ugonjwa wa saratani ya koo.

Zoezi la kumuaga kocha huyo lilipokamilika, safari ya kwenda kuuaga mwili katika nyumba yake ya milele ikawadia huku nyuso za watu zikionekana kuwa na simanzi.

Enzi za uhai wake mbali na kuinoa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, vilevile kocha huyo alikinoa kikosi cha timu ya taifa ya vijana waishio katika mazingira magumu kilichofanikiwa kufanya vyema katika michuano ya kombe la Dunia nchini Brazil.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliekuwa Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, leo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.Marehemu Marsh amezikwa kwenye makaburi ya Igoma nje kidogo ya Jiji la Mwanza.

 Mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa (Taifa Stars), Edibily Jonas Lunyamila (kushoto) akielezea namna alivyomfahamu marehemu Marsh,wakati wa kuaga mwili wake leo kwenye  kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.kulia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Pamba, Yanga na Taifa Stars, Fumo Felician akiwa na majonzi.

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa (Taifa Stars), Edibily Jonas Lunyamila (kushoto) akielezea namna alivyomfahamu marehemu Marsh,wakati wa kuaga mwili wake leo kwenye kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.kulia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Pamba, Yanga na Taifa Stars, Fumo Felician akiwa na majonzi.

Meya wa Jiji la Mwanza , Stanslaus Mabula alisema,jiji la Mwanza akielezea wasifu wa marehemu Marsh, ikimbukwe kuwa Mstahiki ndiye mlezi wa kituo cha soka cha Marsh Academy.

Meya wa Jiji la Mwanza , Stanslaus Mabula alisema,jiji la Mwanza akielezea wasifu wa marehemu Marsh, ikimbukwe kuwa Mstahiki ndiye mlezi wa kituo cha soka cha Marsh Academy.

Huzuni kubwa ilitawaka kwa timu ya vijana wa U17 toka kituo cha Marsh Academy.

Sehemu ya umma uliofika kumuaga Marehemu Marsh.

15

Sehemu ya vijana wa kituo cha soka cha Marsh Academy wakiwa kwenye mazonji makubwa kwa kuondokewa na mzezi wao.

 Sehemu ya umati wa wadau wa soka jijini Mwanza ukiwa umelizunguka Kaburi la Marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’ kabla ya mazishi yake.

 Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s