JOSE CHAMELEONE AFIWA NA MDOGO WAKE

Jose chameleone X Ak47

Jose Chameleone(Kulia) akiwa na mrehemu mdogo wake Ak47 aliyevaa kofia ya purple

Mwanamuziki nyota wa Uganda, Jose Chameleone, amepatwa na pigo kubwa la kuondokewa na mdogo wake wa damu ‘Emmanuel Mayanja’ maarufu kama Ak47 ambaye pia ni mwanamuziki wa miondoko ya dancehall nchini humo.

Kifo cha Ak47 kimeripotiwa kutokea ghafla baada ya kuanguka bafuni katika pub moja inayoitwa Dejavu iliyopo eneo la Kansaga Jumatatu usiku(Mar.16) kabla ya kukimkimbizwa kwenye hospitali Nsambya na baadae kutangazwa kuwa amefariki Dunia.

Marehemu Akay amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 25 huku akiwa ameacha mjane mmoja pamoja na watoto.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s