BONDIA FRANCIS CHEKA ABADILISHIWA KIFUNGO

ChekaHukumu ya Cheka ambayo imebadilika kutoka miaka 3 hadi miaka miwili kulingana na sheria namba 6 ya mwaka 2002 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2004 imemtaka mfungwa kufanya kazi masaa 4 bila malipo katika taasisi za umma.

Sheria hiyo imemuwezesha bondia huyo kutumikia kifungo chake cha nje ambapo atatakiwa kufanya kazi katika taasisi za umma ikiwemo kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na taasisi nyingine za umma.

Awali Bondia Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kupigwa faini ya shilingi milioni 1 mara atakapotoka gerezani mkoani Morogoro baada ya kutiwa hatiana kwa kosa la kumpiga na kumdhuru mwili meneja wa bar yake Bahati Kibanda.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s